Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, May 15, 2015

 

Mwandishi wa habari za michezo wa mtandao wa habari za kidaku waTMZ amesema aliktana na nguli wa filamu za mapigano bwana Sylvester Stallone (Rambo) na kumuuliza kama ana mpango wa kumshirikisha mwanamasumbwi Many Paquiao katika muendelezo wa filamu za Expendables sehemu ya 4 na kujibiwa hakuna kitu kama hicho.Minong'ono juu ya bondia huyo kushirikishwa katika filamu za Expendables ilianza baada ya Silvester Stallone kumtembelea bondio huyo alipokuwa kambini akijiandaa na mpambano wake na bondia Floyd Mayweather.

 

0 comments:

Post a Comment