Rick Ross alikuwa selo kwa takribani siku mbili baada ya baada ya kukamatwa na polisi kwa makosa ya kukutwa na misokoko mitano ya bangi.Baada ya kufuata taratibu za kisheria dhamana ikawa wazi kwa Rick Ross hivyo wakaja watu wake kumtoa kwa dhamana.Baada ya kuachiwwa kwa dhamana,Rick Ross naye akawadhamini baadhi ya marafki zake wapya ambao ni mahabusu aliowakuta huko selo.
Rick Ross amedhihirisha hayo kupitia akaunti yake ya Twitter,tazama hapo chini:
Saturday, June 13, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment