Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, February 17, 2016

Kanye West’s “The Life Of Pablo” Pirated More Than 500,000 In One Day

Albamu mpya ya Kanye West “The Life Of Pablo imetaja kunyonywa zaidi ya mara 500,000 kwa siku kwa mahesabu yaliyopuigwa na mtandao wa Torrent Freak na habari kutangazwa na BBC.
Kanye alizindua na kuanza kuiuza albamu yake mpya ya  The Life Of Pablo” siku ya jumamosi tar 13 kupitia mtandao maalumu wa kusambaza na kuuza kazi za wanamusic wa TIDAL. 
Taarifa zaidi kutoka mtandao wa Torrent Freak zimesema wameshindwa kuzuia kuendelea kunyonywa kazi hiyo sababu watumiaji wengiwao hawajasaini kukubali kulipia ghrama za kushusha wimbo kwa mwezi.
Akiongea na BBC Ernesto kutoka Torrent Freak amesema "Generally we don't track music releases closely, so I'm not calling any records,"during an interview with the BBC. "However, I haven't seen numbers this high before for a music release – not with Adele either."
For additional coverage of Kanye West, whose The Life Of Pablo was pirated more than 500,000 in one day, watch the following DX Daily:

0 comments:

Post a Comment