Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, April 11, 2016

DMX Robbed For $30,000 Watch & Accused Of Sexual Assault
Rapa DMX akumbwa na mkasa wa kuibiwa saa ya thamani na kama haitoshi atajwa kutaka kulazimisha penzi siku ya ijumaa (April 8).
Rapa DMX aLIkumbwa na mkasa huo wa kuibiwa saa ya thamani baada ya kukutana na mdada mmoja mrembo akiwa na rafiki zake na kuwaalika katika hoteli alimofikia.
Taarifa zaidi zinadai rapa DMX na timu yake pamoja na kuwa na kigroup cha wadada hao hao chumbani lakini alibaini dada mmoja katoweka ambaye ndiye alikuwa mlengwa na baadaye akagundua kamba sambamba na mremo huyo kutoweka pia saa yake ya thamani ya dola za kimarekani takribani 30,000 imetoeka ndipo alipoamua kutoa taarifa polisi.
Polisi walifanikiwa kumtia mikononi mwanandada huyo aliyetoweka na simu naye baada ya kuhiojiwa  alizusha kwamba alifanya hivyo baada ya kulazimishwa penzina rapa DMX.
Polisi bado wanaendelea na uchunguzi.

0 comments:

Post a Comment