Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, April 8, 2016

Joey Bada$$
Kiongozi wa kundi la Pro Era,rapaJoey Bada$$ ameelezeakile kilichoendelea mpaka akashindwa kusaini dili na Jay Z katika lebo kubwa ya Roc Nation na kuweka wazi kwamba: The reason? He wanted to be like him.
Akiongea katika mahojiano na kipindi cha Shade 45 Joey alimwambia  DJ Whookid  kwamba alifanya kikao na Jay Z  wakati akiwa na umri wa miaka 17 kipindi hicho akitamba na single yake “Waves”.
Joey anasema aliingia ofisini kwa Jay z na walipata muda kidogo wa kuongea na anakumbuka alimsifia kuhusu kibao chake cha ‘Waves,’ kwa kusema This is Hip Hop na kusema hajaamini kama yale maneno yalitoka kwa mtu wa juu kama Jay Z.”

Joey ambaye kwasasa ana umri wa miaka 21 mzaliwa wa Brooklyn anakili kwamba alikuwa tayari kusaini dili na “Brooklyn’s Finest” lakini hakuwa na mawazo hayo hata walipokutana tu sababu naye alikuwa na mawazo ya kuwa kama Jay Z hivyo alienda kusaini dili na Russell Simmons, Def Jam.
Uamuzi huo kwa namna moja ama nyingine twaweza sema umemlipa sababuJoey anatajwa kuwa mmoja kti ya wana Hip-Hop huru wenye mafanikiona ametajwa katika orodha ya 2016 Forbes Hip-Hop Cash Princes .

0 comments:

Post a Comment