Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, April 14, 2016

Mike Coppola / Sean M. Haffey / Jonathan Leibson, Getty Images 



Kobe Bryant aanatundika madaluga.
Star huyo wa mpira wa kikapu wa timu inayoshiriki ligi kuu ya mpira huo marekani ya The Los Angeles Lakers star amecheza mechi yake ya mwisho usiku wa jana (April 13) dhidi ya timu ya  Utah Jazz.
Kobe anastaafu baada ya kushiriki kwa takribani misimu zaidi ya 20 ya ligi hiyo ya NBA huku akiisaidia timu yake kuchukua ubingwa mara 5 na yeye kumaliza kama mchezaji bora wa fainali hizo (NBA Finals MVP) zaidi ya mara mbili.
Kobe Bryant ambaye ni mwenyeji wa Philadelphia amechezea timu yake ya All Star ya magharibi mara 18 huku akitoka kama MVP mara nne.
Kobe ambaye katia mechi ya jana usiku alikuwa anaaga ligi ya NBA na mashabiki wake,aliisadia timu yake ya Lakers kwa kuifungia pointi 60 na kuisaidia timu yake kuibuka washindi wakitokea nyuma kushinda 101  - 96 dhidi ya Utah Jazz.



Kobe Bryant’s career is coming to an end. The Los Angeles Lakers star is scheduled to play his final game tonight (April 13) against the Utah Jazz. Whether you loved him or hated him, this game will mark the end of an era.
The shooting guard racked up some astounding achievements over his 20 seasons in the NBA. Kobe Bryant won five NBA championships during his career while earning the NBA Finals MVP in two of those championship seasons. On top of that, Bryant was the regular season MVP in 2008.
Kobe Bryant’s success was not just limited to the playoffs. The Philadelphia native made the All-Star team 18 times while winning the All-Star Game MVP during four of those games. Twice, the Black Mamba was the scoring champion of the league. Bryant scored the second most points in a game when he reached 81 points against the Toronto rappers in 2006. Only the legendary Wilt Chamberlain has scored more points in a single game. Bryant was great defender too, making the NBA All-Defensive First Team on nine different occasions. And he did all this while playing for just one team, a rarity in the rise of free agency.


Read More: Kendrick Lamar, Lil Wayne and More Praise Kobe Bryant for His Retirement - XXL | http://www.xxlmag.com/news/2016/04/rappers-praise-kobe-bryants-career/?trackback=tsmclip

0 comments:

Post a Comment