Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, April 21, 2016



Kufuatia kufanya vizuri kwa filamu ya  N.W.A, Birdman na Slim wapo katika mchakato wa kuandika filamu ya Cash Money Records.
Birdman na Slim wamedhihirisha kuwapo kwa mchakatowa kuandika filamu ya Cash Money Records pale walipoongea na wanafunzi was hule ya sheria ya Brooklyn,Brooklyn Law School.
Pia Birman aliongelea kwamba amevutiwa na mafaniko na walichokifanya wakina Ice Cube na Dr. Dre katika filamu ya biopic ya NWA, Straight Outta Compton .
Birdman apia amwapa sifa tele Ice Cube na Dre huku akishangazwa na kile walichokifanya watoto wao ukiachilia mbali Ice Cube ambaye ni muigizaji nguli na huwa anafanya filamu mara kwa mara.

Slim pia amesema kwa kujigamba kwamba script ya filamu yao ni "gold" na imeweka wazi mambo mengi waliyopitia tangu miaka ya 90 wakati wanaanza mpaka mafanikio waliyonayo miaka ya 2000 ambayo maraia hawajui wangependa kuwajuza.

0 comments:

Post a Comment