Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, April 21, 2016


Dj na mwanamuziki toka pande za Compton, DJ Quik aongelea albamu ya Kanye West  The Life Of Pablo katika mahojiano na watatngazaji wa televisheni ya NoahTV,alisema Umaarufu umezidi kipaji cha Kanye West na kama hiyo haitoshi anamuona Kanye kama ni mmoja wa "a Kardashian."
Dj Quick pia alimlaumu "Kanye kwamba ni muoga na hakujiamini,kwani albamu kubwa na kali kama Life Of Pablo,haikuwa na haja ya kuitengezea makiki na ma atention kama aliyoyafanya,ilikuwa ni albamu tu ya kutangaza tayari ipo madukani na mitandoni na watu wengiwangenunua tu
DJ Quik pia alisema si kwamba anamdiss Kanyeila anashangazwa na kuona mtu mwenye kipaji kama yule kutumia mbinu zinazotumiwa na wazugani katika game ya muziki.

0 comments:

Post a Comment