Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, April 19, 2016

 Kanye West and Jay Z
Kuachiwa kw albamu ya Kanye West The Life of Pablo kumeripotiwa kuongeza wateja wa mtandao wa Tidal mara mbili zaidi.
Shabiki mmoja ametangs kuufungulia mashitaka mtandao huo kwa kudanganya kwamba albamu ya Kanye West The Life of Pablo itapatikana katika mtandao huo pekee laini baadaye ikapatikana katika mitandao mingine mikubwa.
Kufuataia taarifa za mtandao wa TIDAL kutangaza kwamba albamu hiyo ya Kany West  itapatika hapo pekee ilipelekea mashabiki kuchangamkia kupakua wimbuo kupitia TIDAL na kufikia zaidi ya wateja mara mbili zaidi ya waliokuwa mwanzi na kupelekea albamu hiyo kuingiza dola millioni 84.
Shabiki mmoja aliyefahamika kwa jina la Justin Baker ameongea na vyombo vya habari na kusema anauburuza mtandao huo mahakani kwa kudanganya ili wafanye biashara kwani yey alilazimika kununua albamu hiyo kwa dola 9.99 (April 18) apate huduma hiyo mwezi mzima.
Baker anauhakika atashinda keshi kwasababu ana ushahidi hata wa sms za Kanye West  katika Tweeter:

0 comments:

Post a Comment