Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, April 19, 2016

 Tupac Love Letter Up For Sale
Barua ya mkono aliyoiandika hayati Tupac November 22, 1988, sasa kuuzwa kwa dola za kimarekani $35,000. Barua hiyo iliyoandikwa kwa mkono,Tupac alimwandikia mdada ambaye alipewa jina la  nickname "Beethoven."jina almbalo Tupac alim bandika tu kwasababu m dada huyo alikuwa akipiga  piano na walikuwa pamoja katika kikundi cha shule cha maigizo.
Katika barua hiyo iliyojaa maneno ya hisia na michoro ya moyo ulionjika na simu,Pac aliweka wazi kuwa anampenda  Prince huyo. Katika sehemu ya barua hiyo iliandikwa:
“As u will soon find out, I do not spare words, I say what I feel,” “So if something I say scares u please don’t panic because I tend 2 get over emotional.”
 "[I] felt compelled 2 write u,can't really explain it, but I really feel good vibes from u."
Mwezi ulipita vijitabu na barua ambazo aliandika kutoka jela Tupac viliuzwa dola 225,000.
Tazama barua hiyo hapo chini:

 Tupac love letter

0 comments:

Post a Comment