Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, April 8, 2016

 
Ludacris ametajwa kwa mara nyingine kuongoza sherehe za utoaji watuzo za Billboard Music Awards.
Rapa huyo toka pande za Atlanta ataongoza shuguli hiyo kwa mara ya tatau na mara hii atakuwa na baby mama wa Future,ambaye kwasasa ni  fiancee wa NFL star Russell Wilson, Ciara ambaye ndiyo mara yake ya kwanza.
Uongozi unaosimamia shughuli hiyo ulitoa tangazo leo  (April 8) na sherehe za utoaji watuzo hizo zitafanyika siku ya jumapili May 22 katika ukumbi wa new T-Mobile Arena huko Las Vegas.
Akiongea na waandishi wa habari baada ya kutangazwa kuongoza shughuli za utoaji wa tuzo za Billboard Music Awards Ludacris alisema “I’m looking forward to another great show in a new and exciting venue.

Naye  Ciara alisema, “The Billboard Music Awards is one of best award shows to honor chart success. My great friend Ludacris and I have also shared songs together on the Billboard chart. I look forward to sharing the stage with him on this special night. It will definitely be a night to remember!”

Majina ya wanaowania tuzo za 2016 Billboard Music Awards yatatangazwa na kurushwa siku ya jumatatu , April 11 katika kipindi cha televisheni cha ABC,Good Morning America.Katika kinyang'anyiro cha tuzo hizo Ludacris na Ciara watasimamia vipengele 5 na vipengele vingine 5 vitatangazwa kupitia ukurasa wa facebook wa Billboard Music Award ambapo wanowani tuzo hizo wamecujwa kutokana na mauzo ya albamu,mauzo yz digital songs sales, radio airplay,ziara za muziki na hata mitandao ya kijamii (kati ya March 23, 2015 mpaka March 17, 2016).
The 2016 Billboard Music Awards zitafanyika siku ya jumapili ya tarehe22  May na itarushwa kupitia televisheni ya ABC.

0 comments:

Post a Comment