Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, April 12, 2016

Diddy

Bad Boy is back for another night.
Baada ya mauzo ya haraka yaliyovunja recodi za uuzwaji wa tiketi za matamasha kwa tamasha la Brooklyn’s Barclays Center May 20 reunion concert na Bad Boy Family, Puff Daddy ametangaza kuwapo na tamasha la pili ambalo litafanyika May 21.
Akitangaza kupitia akaunti yake ya tweetter siku ya jumapili aliandika “BREAKING NEWS!! We added a 2nd show in NYC!! MAY 20th & 21st it’s going down in Brooklyn!! #BADBOYFamilyReunionTour,.
Akimaanisha kwamba wameongeza tamasha moja ambao litafanyika tarehe 21 na litafanyika hukohuko Brooklyn.
Hapo hawali tamasha hilo lilitajwa kamana ilipotangazwa tu tiketi zinauzwa ziliisha ndani ya dakika 7 .
Tamasha hilo litapambwa na wakali kama Diddy, Lil’ Kim, Ma$e, Faith Evans, 112, The Lox, French Montana,  Black Rob, pia watakwapo Special guests kama Jay Z na Mary J. Blige huku wakali kama DMX, Swizz Beatz,na MJB wakitajwa kutumbuiza katika tamasha la pili.
Concert hii imetajwa kuwa ni maalumu kusherekea maisha ya Notorious B.I.G. ambapo angekuwapo angekuwa na umri wa miaka 44.
Na katika habari nyingine mama wa Notorious B.I.G Voletta Wallace amedhihirisha kuwepo kwa  hologram ya Notorious B.I.G., Voletta Wallacehas amesema kampuni inayofahamika kwa jina la ARHT Media wapo kazini kuishughulikia hologram ya mwanaye na kusema itaonyeshwa kwa mara ya kwanza katika

A hologram of The Notorious B.I.G. is coming soon. The late rapper’s mother, Voletta Wallace, has confirmed that a company called ARHT Media is working on a hologram of her son.

Read More: Notorious B.I.G.'s Mother Confirms Hologram Shows - XXL | http://www.xxlmag.com/news/2016/04/notorious-b-i-g-s-mother-confirms-hologram-shows/?trackback=tsmclip
 music video ya wimbo wa mjane wa B.I.G Faith Evans’ The King & I .

0 comments:

Post a Comment