Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, April 27, 2016

 Larry Busacca, Getty Images
The fashion designer,Rachel Roy amesema kuwa yeye siye aliyetajwa kama  “Becky with the good hair”.
Becky with the good hair ni mstari aliomo katika wimbo Sorry kutoka katika albamu mpya ya f LEMONADE, ambao umeleta hali kubwa ya sintofahamu pale wengi wanapohusisha aliyetajwa katika mstari huo na kuwa ni mmoja kati ya waliochepuka na mume wa Beyonce,Jay Z.
Akikanusha tuhuma jizo Rachel Roy ambaye alikuwa mke wa Damon Dash amesema:
“I want to put the speculation and rumors to rest,” “My Instagram post was meant to be fun and lighthearted, it was misunderstood as something other than that. There is no validity to the idea that the song references me personally. There is no truth to the rumors.”
Akimaanisha,alichokiandika katika ukurasa wake wa Instagram ilikuwa ni dhihaka tu,watu wasidhani kweli kwamba ametajwa yeye kama Becky with Good Hair,hakuna ukweli ni uvumi tu.

Wakati Rache Roy akikana sasa anatajwa  Rita Ora kuwa ndiye “Becky with the good hair”kama mtuhumiwa namba mbili.
Wakati uvumi huo ukizidi kushika hatamu,Rita Ora akaona isiwe shida,kupitia mitandao ya kijamii alijisafisha kwa kusema: “I never usually address tabloid gossip but let me be clear, these rumors are false,” she tweeted earlier this afternoon (April 26). “I have nothing but the utmost respect for Beyonce. Let’s continue enjoying Lemonade.”
Akimaanisha uvumi huo ni wa uongo,anamuheshimu Beyonce,andeleeni kufurahia muziki mzuri katika albamu ya LEMONADE.
Ikumbukwe tu wamba Ora alifungua mashtaka dhidi ya Roc Nation ya Jay Z tangu mwaka tangu  2015 December,Mwanamuziki huyo raia wa U.K alifungua mashataka kutaka kuvunjwa kwa mkataba wake na Roc Nation.
 c
“Becky with the good hair” is and the #BeyHive made Rita Ora a suspect.

Read More: Rita Ora Denies Affair With Jay Z - XXL | http://www.xxlmag.com/news/2016/04/rita-ora-denies-jay-z-affair/?trackback=tsmclip

0 comments:

Post a Comment