Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, April 6, 2016

 blac-chyna-rob-kardashian-engaged-ring-strip-club-party

Rapa Tyga amefanya kile ambacho namba kubwa ya watu hawajategemea pale ambapo alimpongeza aliekua mwenzi wake pia ni mama wa mtoto wake mmoja wa kiume aitwae king cairo, mwanamitindo,video queen   blackchyna  katika habari yake kubwa inayotrend kwa sasa kuhusu mwadada huyo kuvlishwa pete na mdogo wa kiume wa kim kardashian  aitwae  rob kardashian na  pia kaka wa mpenzi wa tyga wa sasa mwanamitindo  kylie jenner.Rapa huyo aliwashangaza watu kupitia ukurasa wake wa tweeter alipost na kuandika "najisikia furaha sana kumuona mama wa mtoto wangu akiwa na furaha nina uhakika mwanangu atakua katika mazingira salama hilo tu kwa sababu mama yake ana furaha namtakia maisha mema yenye furaha sababu hicho ndio kitu nilichokua namuombea blackchyna

0 comments:

Post a Comment