Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, April 13, 2016

Tokeo la picha la snoop dogg & anold schwartzniger
Snoop Dogg amemchana Arnold Schwarzenegger kufuatia kuachiwa huru juzi jumapili April 10 kwa  Esteban Nunez ambaye alikutwa na kosa la kuua bila kukusudia mwaka 2010 in 
Rapa huyo toka pande za Long Beach ,Snoop Dogg hajafurahishwa na kitendo cha aliyekuwa gavana wa California,Arnold Schwarzenegger,kumtetea na kum badilishia mashtaka muuaji Esteban Nunez ambaye ni mtoto wa mwanasiasa ally.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Snoop Dogg alimchana kwa kumrushia maneno makali 
"Arnold Schwarzenegger kwa kipande cha video :
Ukiacha Snoop Dogg pia familia ya Luis Santos ambaye aliuliwa kwa kuchomwa visu na Nunez,pia walitoa maneno makali ya kuonyesha kuchukizwa na Schwarzenegger.
Akiongea na vyombo vya habari baba wa Luis Santos ambaye aliuliwa kwa kuchomwa visu alisema:"My son (was) stabbed in the heart when he was alive," Fred Santos, "Schwarzenegger stabbed him in the back after my son is killed."
Mwaka 2005 mwanaharakati aliyefahamika kwa jina la "Tookie" Williams alimuomba  chwarzenegger,kesi itazamwe upya lakini alikataliwa.

0 comments:

Post a Comment