Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, April 28, 2016

 
Beyonce alianza rasmi ziara yake ya muziki aliyoipa jina Formation Tour jana uasiku na ilikiki sana.DJ Khaled ambaye ni alitajwa kama msanii atakayekuwa anafungua matamasha hayo,aliwashusha jukwaani kwa mshangao mastaa wakali na kakubwa kama Lil Wayne, Future,Rick Ross, 2Chainz kuuchnengua umati uluokuwapo kushuhudia onyesho hilo la kwanza katika ziara za Beyonce,Fornmation ambayo imetajwa kuwa ni ya ulimwengu.
Beyonce pia alitoa salamu za hesima kwa Prince na kama haitoshi aliudedicate wimbo Halo kwa mumewe,Jay Z.
Katika habari nyingine wakati albamu ya Beyonce LEMONADE inaendelea kuwa gumzo gumzo kwa sekta mbali mbali.ukianzia nyimbo zake ,nama ilivyotolewa mpaka gumzo juu ya nyimbo hizo kuwa ni dongo kwa waliochepuka na mumewe,sasa inatajwa kwamba kuna uwezekana mkubwa Jay Z alishiriki kusaidia kuandika story ya baadhi ya nyimbo,mtandao wa xxl magazine umeandika,Jay Z alishirikishwa katika uandishi na hata utoaji wa albamu hiyo.

0 comments:

Post a Comment