Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, May 4, 2016



Rapa toka pande za Toronto, Drake ametajwa kuuangusha m buyu  bada ya kumuondoa boss wa G Unit,50 Cent katika orodha ya wanahiphop 5 wenye mkwanja zaidi waliotajwa na jarida la  Forbes’ kwa mwaka wa 2016.
Forbes wameripoti kwama rapa huyo aliyetoa albamu ya Views ana utajiri wa dola milioni 60 alizojiingizia kupitia kazi zake za muziki na ziara za muziki,matangazo ya bidhaa za Nike, Sprite na Apple.50 Cent ameondosha katika orodha hiyo baada ya kujitangaza kufilisika.
Juu ya Drake yupo bosi wake na wa Cash Money Records boss Birdman aliyetajwa kuwa na utajiri wa dola millioni 110.
Diddy ndiye aliyeongoza orodha hii kwa mwaka huu kwa kuwa na utajiri wa dola millioni 750. Dr. Dre 710 million. Jay Z 610 million. F
For Drake, this is yet another honor for him in the aftermath of Views’ release. The OVO Sound leader recently earned the third No. 2 song of his career when “One Dance” reach that spot on the Billboard Hot 100. Views has been a strong performer too as it moved 740,000 units in the U.S. over a two day period. And over that same time frame, the LP sold more than 80,000 in Canada.

0 comments:

Post a Comment