Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, May 5, 2016



 Kanye West kung'aratena katika tuzo za Webby Awards.Mkali huyo wa miondoko ya rap na  hip-hop ametajwa kutunukiwa tuzo ya msanii bora wa mwaka 2016 (Artist of the Year at the 2016 ).
Kwa mujibu wa wasemaji wa  Webby wamesema Kanye West amechangia kwa kiasi kikubwa utamaduni  wa kusambaza na kutangaza muziki na hata kutoa nafasi ya mashabiki kutumiana kazi za muziki katika mitandao .
Webby pia wamempongeza West kupitia albamu yake ya The Life of Pablo ambayo imetajwa kushushwa na kusikilizwa na watumiaji wa mtandao zaidi ya milioni 250 katika kipindi cha siku 10 tangu albamu hiyo iingie mitandaon na kushika nafasi ya 1 katika chati kubwa mbali mbali za muziki
Tuzoza Webby za mwaka huu kufanyika May 16 .

0 comments:

Post a Comment