Ni rasmi sasa Rita Ora amepata a home,Atlantic Records.
Muimbaji huyo muingereza ambaye hapo awali alisainiwa na lebo ya Jay-Z,Roc Nation sasa ametangazwa kujiunga na Atlantic Records na kutangza mipango ya kuachia kazi hivi karibuni.
Akikaribishwa ndani ya Atlantic Records Rita Ora aliongea:
“Music is my first love and I am looking forward to getting my new
songs released,” . “I’m thankful to my new
Atlantic Records family for all their support and encouragement. The
next chapter is going to be incredible.
Ben Cook ambaye ni raisi wa lebo ya Atlantic Records UK, ameipongeza lebo hiyo kwa kumsaini Rita na kuandika: “Rita is a rare talent and a true global star,” “First and
foremost she’s a great singer who’s hugely passionate about music and
I’m delighted to welcome her to Atlantic Records. We look forward to
getting in the studio with her and making an incredible album.”
Rita mwenye umri wa miaka 25 aliishtaka Roc Nation mwaka 2015 kwa madai kwa madai ya kumtelekeza bila kutoa kazi tangu 2012 ambapo alitoa albamu ya Ora internationally.
Roc Nation nao walimfungulia mashtaka lakini baadaye pande hizo mbili zikakaa pamoja na kuweka mambo sawa.
Tuesday, June 21, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment