Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, June 23, 2016

Drake
Rapa Drake ametangaza kusitisha mpango wa kukutana,kusalimiana na kupiga picha na mashabiki katika ziara yake ya “Summer Sixteen,” .
Ziara ya “Summer Sixteen Tour” ambayo atakuwa na rapa Future,imetangazwa kuanza July 20 huko Austin.
Mashabiki walionunua tiketi za ziara hiyo za VIP kwa dola 1,000 ili waweze kupeana mikono na kupiga picha na Drake,wametangaziwa kurejeshewa dola 300 ila watakaa VIP.
Upande wa waandaaji wa maonyesho hayo hawajatoa ufafanuzi juu ya nini kimepelekea kusitishwa kwa mpango huo wa Drake kusalimiana na kupiga picha na mashabiki ila tu wameomba radhi na wametoa utaratibu jinsi watakavyorejesha pesa.

0 comments:

Post a Comment