Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, June 22, 2016

Iggy Azalea Did Not Dumps Nick Young's Things In Her Driveway

Ikiwa ni siku chache tangu Iggy Azalea kumwagana na Nick Young,kumekuwepo na habari inayosema Iggy amemtupia virago Nick Young.
Habari hii ilivuma baada ya mitandao baada ya kusambaa picha inayoonyesha gari alilonunuliwa Nick Young aina ya blue 1962 Chevy Impala likiwa limebebwa na winchi.
The "Fancy" rapper Kupitia akurasa wake wa Twitter amekanusha tarifa hizo na kusema si kweli kwamba amemtimua Nick Young katika mjengo wao na kumtupia virago vyake.
Wawili hao walivalishana pete ya uchumba mwaka uliopita baada ya kuwa katika mahusiano ytangu mwaka 2013 .
Minongóno yna uvumi wa Iggy na Nick kuachana mpaka kuacha ukweli ilianzia pale mchezaji mpira wa kikapu wa ligi ya NBA D'Angelo Russell kumrekodi Nik Youn akiongea na mdada mwingine na kurusha mitandaoni.

0 comments:

Post a Comment