Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, June 21, 2016

Runtown

Runtown amemaliza uatata na bosi wa record lebo  iliyokuwa ikimsimamia ya Eric Many entertainment uliokuwa ukiendelea kwa wiki kadhaa na kuripotiwa mitandaoni.
Katika moja kati ya vilivyotajwa kusababisha utata ni sambamba na Runtown kusema kutokuelewana huko kilisababishwa na kutishiwa kuuwawa,dhuluma na mengineyo.
Taarifa zinasema Runtown na bosi wa lebo ya Eric Many entertainment,bwana Ukwudili Umenyiorawamemaliza kesi yao nje ya mahakama kwa msaada wa wanasheria wa kampuni ya Olaniwun Ajayi kufuatia kuwakutanisha June 14, 2016 huko New York.
Makubaliano yamefikiwa kuwa Runtown atafanya kazi chini ya Eric Many entertainment  kama walivyokubaliana awali lakini wakati huu amepewa nafasi kubwa katika kuendesha mambo ya mapato.
‘"Runtown and Dilly agreed to settle out of court and Runtown will remain with the label for one more year but its now more of a partnership deal because it gives Runtown more control,’"
Tarifa zingine zinadai kwamba muimbaji Runtown anampango wa kuanzisha record lebo yake binafsi na ajisimamie mwenyewe baada ya kumaliza mkataba na Eric Many entertainment na imesemwa kuwa lebo hiyo ameipa jina la  ‘Power In The Music (PITM) Runtown ndiyo  CEO.

0 comments:

Post a Comment