Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, July 14, 2016

Iyanya and Ubi

Iyanya amekanusha uvumi kwamba sababu za kuondoka katia lebo aliyokuwa akiifanyia kazi tangu 2011 ya Made Men Music Group MMMG eti kisa amegombana na meneja Ubi Franklin.
Iyanya kupitia ukurasa wake wa Instagram amefunguka kwa kusema:“All these are lies. I'm not fighting Ubi. His wife is the best woman in the world for him, She is a good woman, she's a good cook too. You guys please chill,” 
Iyanya anayetamba na ngoma yake mpya Ayaya  MMMG, and his latest single, ‘Ayaya’ featuring South-South rapper Ikpa Udo na Upper X, alionyesha dalili za kutoendelea kufanya kazi na MMMG baada ya kurelease kazi hiyo bila logo ya Lebo hiyo.
Mtu mmoja wa karibu wa Iyanya amesema sababu kubwa ya muimbaji huyo kuondoka MMMG,ni kwenda ku launch new record label na amesema Iyanya ambaye yupo America tangu mwezi March  atarudi na vifaa kamili na kufungua studio na kutangaza record label yake.
Taarifa zaidi zinasema hatoimaliza albamu iliyokuwa afanye joint project na Banky W na badala yake atafanya comeback baadaa ya albamu ya 2015 “Applaudise” kwa kuachia albamu mpya kupitia lebo yake
Iyanyana  Ubi Franklin walianzisha rec label ya Made Men Music Group 2011,na kufanikiwa kuachia albamu mbili pamoja na compilation album.
Hwa ndiyo wanaounda MMMG:
  • Ubi Franklin Ekapong Ofem - Executive producer
  • Iyanya Onoyom Mbuk - Executive producer, primary artist
  • Tekno - Primary artist, record producer
  • Selebobo - Primary artist, record producer
  • Baci - Primary artist
  • Abinibi - Album art
  •  Emma Nyra - Primary artist
  • Paul Ukonu - Photography

0 comments:

Post a Comment