Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, July 13, 2016


Popular singer Yemi Alade ametajwa kupata dili lenye mkataba mnono.

Yemi Alade aka The 'Mama Africa' ni mja kati ya wanamuziki wenye mafanikio makubwa na wanaofanya vizuri sana toka nchini  Nigeria,ametajwa kuingia mkataba wa kuitangaza na kuwa balozi wa kampuni inayojihusisha na mambo ya malipo  kwa mtandao ya social digital wa Nairabox.

Kuthibitisha hayo Yemi Alade aka The 'Mama Africa'aliandika habari hiyo katika ukurasa wake wa Instagram , July 12, 2016na kushea na mashabiki.

Aliandika
 "Everything is happening online right now, technology is the future and Nairabox is the future, you don’t need physical cash, you can buy movie tickets, purchase airtime, make bill payments and transfer cash to your kids in school…The best part about it is that it operates all over the country and you don’t need data.
Akitupia kati snapchart, Alade aliandika"From okada to taxi to rickety cars to porshe rides to Jets .! But still, The greatest wealth you can acquire is knowledge. #Readup."

0 comments:

Post a Comment