Rihanna apost picha akimkiss Chriss Brown
Rihanna ameamua kuwashirikisha mamilioni ya mafans wake hususani Twitter followers katika kile anachokiita Love.Muimbaji huyo anayetamba na kibao matata “Diamonds”amepost photo ikimuonyesha amemkumbatia huku akimkiss Chris Brown ,na hii ilikuwa ni baada ya kuchengua katika“Carpe Diem” shows nchini Germany.
0 comments:
Post a Comment