Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, December 14, 2012


Rihanna na Bruno Mars kuperform katika The Voice

The Voice ni American reality talent show ambayo huendeshwa na kituo cha televisheni cha NBC .
Rihanna and Bruno Mars wamechaguliwa ku perform katika fainali hizo za mashindano ya uimbaji ,shindano hili limeshawatoa wasanii wengi wanaofanya vizuri ktk muziki wakiwemo  Christina Aguilera, Cee Lo Green, Maroon 5 nk



 Hii ni Top 4 ya Rappers ya T.I.


  T,I amewataja Eminem, [Jay-Z], Three Stacks, Lil Wayne  kuwa ndiyo rapaz wanaofanya poa ktk game ya hip hop kuanzia jukwaani mpaka dukani.


Rick Ross a renew Promotional Deal na  Ciroc Vodka ya Diddy


Rick Ross ameingia contract na Ciroc kama brand ambassador. Deal hii itamuwezesha rapa huyo wa kutoka miami kudhaminiwa live shows na Rick Ross anatakiwa kuipromot Ciroc Vodca.

0 comments:

Post a Comment