Fat Joe jela miezi 4 kwa matatizo ya kukwepa Tax
Rapper Joseph Cartagena aka Fat Joe jumatatu tarehe 24 amehukumiwa kifungo cha miezi minne jela baada ya kukutwa na makosa ya kukwepa kulipa kodi ya mapato aliyoingiza miaka ya 2007 na 2008 inayokaribia $ million 1.
Fat Joe ndiye latest hip-hop star kwenda jela kwa matatizo ya ukwepaji tax.Ja Rule alifungwa miezi 28 , while Lauryn Hill alifungwa miezi 3.
Jay-Z amsainisha NBA Superstar Roc Nation Sports Roster
Rapper mfanyabiashara Jay Z ameamua kuwekeza ktk michezo na katika kudhihirisha hilo amsainisha NBA Superstar Kevin Durant,kutoka Oklahoma City Thunder star. katika kuthibitisha hayo Durant ametuma picha ya kile kilichoendelea kwa Instagram photo.

0 comments:
Post a Comment