Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, July 4, 2013


50 Cent matatni kwa kutumia mabavu



 0703_50_cent_footer_v2
Mtandao wa TMZ.com exclusive ambao wamepata information toka Los Angeles City Attorney unaripoti kwamba June 23 50 cent alimpiga mama wa mtoto wake na kuvunja baadhi ya vitu nyumbani kwa mama huyo.
 50 Cent real name Curtis Jackson alitoweka eneo la tukio Toluca Lake, California ambapo ni nyumbani kwa mama wake wa mtoto wa kiume kabla police hawajafika.
Kiongozi huyo wa G-Unit  ameshitakiwa kwa makosa ya  kuharibu vitu vua mama huyio vikiwemo kuvunja milango,television,na kama haitoshi kumpiga.
50 anatahitajika mahakamani July 22. atatozwa fine isiyopungua $50,000 ama kutumikia miaka 5 jela ikiwa atapatikana na  makosa.

0 comments:

Post a Comment