Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, July 10, 2013

Lauryn Hill ameingia gerezani kuanza ktutmikia kifungo cha miezi 3 kwa kushindwa kulipa taxes inayokaribia dola million Wakati Lauryn anaanza kutumikia kifungo imeshafahamika namna atakavyoishi na aina ya vyakula atavyokuwa anakula humo gerezani.reports zinadai Lauryn's first meal option itakuwa ni vyakula chaguo lake kama barbeque pulled pork na kipande cha carrot, peas na sweet potatoes, vegetables na aliweza kuchagua kati ya mazia ama juices.Shughli zake za kila siku zitakuwa ni  kusafisha mazingira grounds, kazi za magereza na kujihusisha na shughululi za kuelimisha elimu ya dini.

 

 Album ya Jay-Z,‘Magna Carta Holy Grail’ yafika Platinum 

 Jay-Z 

Album ya Jay Z imeingia sokoni tarehe 9/7 huku ikiwa tayri mauzo yake yamefika platinum. The RIAA wamemtunuku mwamba huyo wa hip-hop platinum baaada ya kuuza zaidi ya   copy million 1 za Magna Carta Holy Grail.Mauzo hayo yamefikia hapo baada ya Samsung kununua copies 1 million za album na kuwapatia watumiaji wa Samsung kupitia Magna Carta app katika Google Play.

 

0 comments:

Post a Comment