Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, July 11, 2013

Jay-Z amesema hayo during a interview na kipindi cha The Breakfast Club cha Power 105.1' Radio,rapper huyo toka pande za New Orleans,Lil Wayne angekuwa top wa Young Money’s musical empire, lakini wakati huohuo angesign deal na Jay-Z na Roc-A-Fella Records.               Jay Z amesema alivutiwa kufanya kazi na Lil Wyne na alishachukua hatua za kuwasiliana na Birdma na kufanya kikao na Lil Wyne,Jay-Z anasema aliachana na mpango huo baada ya Lil Wayne kumtaja mkewe (Beyonce) ktk track inayopatikana ndani ya Tha Carter IV’s “It’s Good.” ktk hilo song Weezy anarap, “Talkin' 'bout baby money, I got your baby money/Kidnap your b***h, Get that 'how much you love your lady' money.”

 

0 comments:

Post a Comment