reports zinadai,Chris Breezy amefikia uamuzi kufuta zile graffiti za michoro ya magoblin ya kutisha.mtandao wa TMZ unareport kwamba Chris amekuwa kwa fight na city of L.A. tangu mwezi May kuhusu graffiti za magoblin ya kutisha nje ya ukuta wa nyumba yake.
Chriss Brown inaonekana anafuta graffiti hizo kwa shingo upande kwani mnamo mwezi may alitweet:It's art.There are scarier creatures on Harry potter.
inasemekana pamoja na kufuta miciro hyo Chriss Brown bado anatakiwa kulipa fine.

0 comments:
Post a Comment