Msanii wa muziki wa kizazi kipya almaarufu bongoflava Dochi anayetamba na tracks mbili,Imani aliyomshirikisha Ally Kiba na Nampenda aliyomshirikisha Ommy Dimpozi,leo siku ya jumamosi ya tarehe 28 atakuwa na kibarua kigumu cha kuwadhihirishia watu wa kwao mpwapwa,kwamba anawawakilisha vema katika sanaa hiyo ya muziki wa kizazi kipya.Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa msanii Dochi kutumbuiza wilayani mpwapwa.Dochi atafanya show katika ukumbi wa CCM,itaanza majira ya saa 1 za jioni.Waandaaji wa tamasha hilo wanasema show hyo ni maalumu kwaajili ya uzinduzi wa filamu ya ULIMULILA.
Saturday, September 28, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment