Msanii wa muziki wa kizazi kipya Kassim Mganga aka Tajiri wa mahaba anayetamba na ngoma yake I Love you,siku ya jumapili ya tarehe 29/09 atatumbuiza katika klabu iliyopo katikati ya jiji la Dar,Club Billicana.
Akiongea na mwandisi wa blogi ya djnikotrack.blogspot.com Kassim Mganga aka Tajiri wa mahaba amesema amejipanga vilivyo kuhakikisha anafanya show kali,Kassim Mganga ameongeza kusema atafanya show hiyo sambamba na wakali kama Christian Bella,TNG,Shetta,Mabeste na wengine surprise.
Saturday, September 28, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment