Rappa Kanye West aliongea na BBC 1 Radiona kufanya mahojiano yenye sehemu nne.Katika sehemu ya tatu rappa Kanye West ameamua kumtaja mtu anayempatia kila kitu.
Rappa Kanye West Kim Kardashian ndye anayenipa kila kitu, ndiye nayemfanya ayafurahie maisha haswa baada ya uchovu wa studio na biashara zangu.
Kanye West na Kim Kardashian wana mtoto mmoja anayeitwaNorth West.
Thursday, September 26, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment