Msanii wa Cash Money Records Paris Hilton aongelea kuhusu maisha yake katika muziki na uwepo wake na mahusiano ndani ya YMCMB.Paris Hilton amekwenda mbali zaidi na kuwavuka Lil Wayne na Drake mpaka kufika kwa bosi wao (CEO).
Hilton na Cash Money CEO Birdman walikuwa katika mahojiano na
"RapFix Live" siku ya jumatano na ndipo Paris Hilton alipoulizwa kama ikitokea uolewe na mmoja wa wana YMCMB ungemchagua nani?" Paris akacheka kwanza kwa mzaha na ndipo alipomnyooshea kidole #1 Stunna,The Cash Money CEO Birdman.Lakini baadaye akaweka wazi aina ya ndoa watakayofunga ni ya biashara ya muziki kwanza.
Hilton ameachia trac"Good Time" ambayo itakuwa katika albamu yake ya nne na amemshirikisha Lil Wayne.
Friday, September 27, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment