Miss Philippines Megan Young mwenye umri wa miaka 23 ndiye alyetwaa taji la miss world siku ya jumamosi tarehe 28/09 huko Indonesia katika mpambano wa walimbwende 127.
Miss France Marine Lorphelin mwenye umri wa miaka 20 upande wa kushoto kwa picha ameshika nafasi ya pili wakati Miss Ghana Carranzar Naa Okailey Shooter mwenye umri wa miaka22 upande wa kulia katika picha ameshika nafasi ya tatu.
Saturday, September 28, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment