Kanye West mkewe Kim Kardashian wametangaza kutanua wigo wa biashara ya mitindo na mavazi kwa kuanzisha toleo jipya la nguo za watoto.
Kim Kardashian West kupitia mtandao wa Snapchat jana Jan 1 alitangaza big news kwa kupost kipande cha video kikimuonyesha binti yao North akiwa amevalia kijigauni na kikoti vya njano na kusikika sauti ya Kim ikisema: Daddy and mommy are doing a kids line,” “These are some of the pieces.
0 comments:
Post a Comment