Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, February 2, 2017

Familia ya Carter family sasa kuongezeka na hii ni baada ya mke wa Jay Z,Beyonce kutangaza kupitia akaunti yake ya Instagram kwamba wanatarajia kupata mapacha baada ya vipimo kuthibitisha.
Beyonce aliandika: “We would like to share our love and happiness. We have been blessed two times over,” wrote the Carters. “We are incredibly grateful that our family will be growing by two, and we thank you for your well wishes.”
Kufuatia familia ya mr Carter kutangaza kupitia Instagram kutarajia mapacha na kutupia picha ya Beyonce mjamzito,familia hiyo imetengeza history nyingine ya kuwa na picha yenye likes zaidi katika Instagram.

0 comments:

Post a Comment