Vanilla Ice a.k.a. Rob Van Winkle amemtaka Justin Bieber kuacha tabia za kugeza uhuni na badala yake afanye yale yatakayompandisha la sivyo atashuka na kupotea ghafla.
Vanilla Ice a.k.a Rob ameshawahi kutajwa na Miley kuwa si mfano wa kuigwa ila kwa heshima-- alimuandika Miley katika viganja vya miguu yake.
Vanilla Ice a.k.a Rob anasema,mambo yanapoharibika hakuna wa kukunasua zaid ya wewe mwenyewe.
Monday, September 30, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment