Rappa toka Atlanta,Gucci Mane atatumikia kifungo cha miezi 6 jela kwa makosa mbalimbali yakiwemo ya kukutwa na silaha kinyume cha sheria,kutotii amri na madawa ya kulevya aina ya bange.
Hati ya kukamatwa rappa Gucci ilitolewa baada ya kumpasua mshiki kichwani kwa chupa katika pati ya utambulisha wa track yake,Trap Back .Muathirika huyo wa kusauliwa na chupa iliyopelekea kushonwa nyuzi 10,ni mwanajeshi wa jeshi la marekani amesema alikutwa na mkasa huo baada ya kumuomba rapa hoya apige naye picha.Rappa huyo mtukutu hivi karibuni alipamba vichwa vya habari kwa kuwarushia maneno makali mastar Waka, Nicki Minaj,Tyga, na baadaye kuomba radhi.
Tuesday, October 1, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment