Sherehe za awali za tuzo za BET Hip Hop ambazo ziliwakutanisha miamba ya hip-hop ya zamani na sasa zilifanyika katika ukumbi wa
Boisfeuillet Jones Civic Center huko Atlanta.Snoop Dogg aka Uncle Snoop
ndiye aliyeendesha shughuli hiyo ambayo ilipambwa na show za wasanii
wakali kama Kendrick Lamar,2 Chainz,Rick Ross, French Montana,Meek Mill, and ScHoolBoy Q.
Tuesday, October 1, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment