Rappa Young Buck ambaye jina lake kamili ni David Brown hapo hawali alikuwa katika kundi la G-Unit ,hatimaye ametoka jela jana October 1st,2013 baada ya kutumikia kifungo cha miezi 18. Rappa Young Buck ndiye aliyetangaza kuwa yupo huru kwa kuandika kupitia Twitter page yake:
"I'm officially a free man!!!," October 1
Wednesday, October 2, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment