Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, October 4, 2013


1003_rick_ross_group_getty
Promoter mmoja wa matamasha huko London,amewashitaki wana MMG kwa kutofika kutumbiza katika tamasha  mwaka 2012.
Mtandao wa Tmz unaripoti,Wana MMG waliotajwa kushitakiwa ni Ross,Wale,Meek Mill,Omarion na Stalley ambao walilipwa kianzio kwaaajili ya tamasaha hilo huko Wembley Arena,London lililokuwa lifanyike Sept.12, 2012.

Promota huyo anadai chake kwani anaona hakunamuelekeo tena wa kufanya nao kazi japo hapo hawali walikubaliana kubadilisha tarehe.
Tazama hapo chini jinsi walivyolipwa mmoja mmoja:
 
-- Stalley:  $5,500
-- Omarion:  $12,000
-- Wale:  $35,000
-- Meek Mill:  $40,000
-- Rick Ross:  $100,000 
Promota huyo ameataka kulipwa kiasi cha $93,281.26 zaidi kwaajili ya usumbufu na gharama mbalimbali alizoingia.

0 comments:

Post a Comment