Muimbaji mahiri wa muzi ki wa R&B,Chris Brown amedhihirisha kile ambacho kilikuwa kinatamba katika minong'ono kwamba yeye na rappa toka Young Money,Drakewamemaliza tofauti zao.
Chris Brown katika kuyadhihirisha hayo ameandika katika ukurasa wake wa facebook:
"Hangin with Drake in the studio."
Chanzo kimoja kinadai Chris Breezy na Drizzy walionyesha kumaliza tofauti zao siku kadha zilizopita huko Nevada,ambapo inasemekana walionekana wawili hao wakipiga stary na kupata vinywaji pamoja.
Friday, October 4, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment