Albamu ya Toni Braxton na Babyface Love, Marriage & Divorce ilitangazwa kuzinduliwa November 25,lakini kuna mabadiliko yamefanyika na kutangazwa na Motown Records,sasa albamu hiyo kuzinduliwa mwakani kipindi cha Valentine’s,tarehe 4 February.
Watu wengi wamekuwa wakiisubiri albamu hii kwasababu wawili hao mara ya mwisho kufanya kazi ni mwaka 1992,sasa ni miaka 21 imepita,na walifanya kazi katika kutengeneza wimbo Give U My Heart” uliotumika kama soundtrackkatika sinema Boomerang.
Friday, October 25, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment