Mchezaji wa Manchester City Yaya
Toure Yaya Toure asema wachezaji weusi wanaweza kugomea World Cup Russia 2018 ikiwa serikali ya nchi hiyo haitokemea na kuweka sheria kali zidi ya vitendo vya ubaguzi.
Yaya ameongeza kusema wachezaji wa kiafrica hatutoenda kushiriki sababu hatutokuwa na hali ya kujiamini na kucheza mahali ambapo unabaguliwa.Yaya ambaye ni m Ivory Coast amesema kama wachezaji wote toka Africa tutagoma kwenda Russia hakutakuwa na kombe la dunia,na hata kama likiwepo litakosa maan.
Yaya Toure ameyasema hayo baada vitendo vya kibaguzi alivyfanyiwa hivi karibuni wakati timu yake ya Manchester City ilipokwenda Russia kucheza na katik ligi ya UEFA na timu ya CSKA Moscow.
Friday, October 25, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment