Akifonge katika mahojiano na Billboard.com producer Pharrell ameziongelea baadhi ya sababu za,Queen Bey kucheleweshwa albamu yake mpya.
Producer Pharrell ameanza kwa kusema “B’s album is crazy,” akimaanisha albamu ya Beyonce ijayo ni moto.Queen Bey ana kipaji cha kipekee,ni m bunifu,mpenda vitu vizuri sana na yupo makini katika sughuli zake za muziki,kwa mtazamo wa haraka albamu yake ni imemalizika ila kwakuwa Queen Bey ana mipango yake na malengo yake amesema hatoitoa mpaka atakapojiridhisha ipo tayari na atakapojisikia.Kikubwa cha kuwapa moyo mashabiki wake hapa ni kuwaambia mzigo upo tayari.
Na kwakuongezea producer Pharrell amesema tarajia kuzikia sauti za akina Justin Timberlake, Timbaland na The-Dream katika ujio mpya wa albamu ya Queen Bey.
Friday, October 25, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment