Lindsay alikuwa amechelewa kushut movie ya "Liz and Dick" huko malibu na alipokuwa njiani alizidisha mwendo wa kawaida wa eneo hilo wa chini ya spidi 60 na ndipo alipolibamiza gari lake aina ya black Porsche 911S katika semi-truck.
Taarifa zaidi zinadai Movie star huyo ahapo awali aliwadanganya polisi kwamba yeye alikuwa abiria na kumsingizia mwenzake kwamba alikuwa ndiye dereva lakini baadae polisi waligundua,polisi walikuta pia vidonge na chupa ya maji iliyotiwa pombe.
Thursday, October 24, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment