Mtandao wa TMZ unaipoti Mke wa mcheza sinema nguli na wa siku nyingi Clint Eastwood,Dina adai talaka kwa kile kinachodaiwa kuhitilafiana na kutokuelewana kwa muda mrefu na mcheza sinema huyo.
Wawili hao walioana mwaka 1996,na Clint ana watoto 8 ambapo 7 ni wa nje ya ndoa.
Clinton "Clint" Eastwood,Jr.ni American film actor,director,
producer,composer, pianist,mfanyabiashara na ni mwanasiasa.amezaliwa wa May 31,1930 ( 83),huko San Francisco, California, United State.
Clint Eastwood amecheza na kuongoza sinema nyingi nzuri lakini alipata umaarufu mkubwa katika sinema ya The Good, the Bad and the Ugly ya mwaka 1966.
Thursday, October 24, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment