Muimbaji mahiri wa muziki wa pop,Madonna ameuza jumba lake la kifahri lililopo huko Beverly Hills estate jumba ambalo alilinunua baada ya kufunga ndoa na Guy Ritchie na inasemekana amejipatia faida ya zaid ya dolla MILLION 8 kwani inasemekana alilinunua kwa dolla millioni 12 na ameliuza kwa dolla millioni 20.
Jumba hilo lina bathrooms 15,bedrooms 9,story dining room 2, pool, movie theater tennis court na gy.
Thursday, October 24, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment